PRODUCT INQUIRY

Tafadhali Tuambie Bidhaa Gani Unataka Kuagiza

Andika Majina Yako Kamili.
Andika Number ya simu Inayo patikana WhatsApp
Click or drag a file to this area to upload.
hapa upload bidhaa unayotaka kuchangia MOQ
Tuandikie hapa wewe una chukua pcs ngapi.
Lini upo Tayari kulipia Order Yako?

YIBAI MK sasa inakuletea mfumo rahisi mno wa ununuzi kwa kikundi yani (GPS).
Mfumo huu unaruhusu wateja zaidi ya mmoja kununua aina moja ya bidhaa hadi kiwango cha chini cha oda (MOQ) kwa bidhaa husika kinapofikiwa. GPS pia itasaidia wateja kuokoa fedha kwa gharama za usafirishaji kwani watagawanya na kuchangia gharama za usafirishaji kulingana na kile walichonunua. Kwa hivyo, tunawahimiza na kuwaomba wapendwa wateja wetu kutumia fursa ya GPS kutoka YIBAI MK.

SHOPPING CART

close